Katika mahusiano kati ya Wakristo na Waislamu, mojawapo ya mambo yaletayo kutokubaliana ni sera ya imani kwa nyingine. Kwa uzoefu wa PROCMURA, maelezo ya imani ya Kikristo na desturi mara kwa mara hayajadhihirishwa kwao Waislamu katika majadiliano ya ana kwA ana.Kwa muda mrefu sasa, maswali ya kawaida ambayo Waislamu wangependa kuyaelewa kuhusu Ukristo yamechapishwa kwenye ofisi kuu ya PROCMURA.
Programme for Christian-Muslim Relations in Africa (PROCMURA),
P.O. Box 66099 – 00800 Nairobi
Prof. Saitoti Avenue, Westlands,
Phone: +254 (020) 444 5181 / 445 1342,
Email: [email protected]